Mzigo huko dukani karibuni sana vitu vipya vipya more colourful swag ushindwe wewe tu
Vest kila Rangi kwa bei poa tu pia tuna promos hen yanguvu ukinunua moja elfu 15 ukinunua 5 elfu 50 tu
Ni zile vest ndefu zinafika na kuficha sehem zakiuno na zinafika hadi mwisho wa makalio 100% cotton kumbuka our motto @ Sheila's it's all about test & quality
Muonekano wa vest nikiwa nimevaa nikichomekea
Flats za kila aina nimejaribu kuwabadilisha kidogo swaga kutokana na ulimwengu wa fashion unavyoenda viko vingi mno na design tofauti tofauti na Rangi tofauti tofauti
Peplum pia zipo kila Rangi ushindwe wewe tu
Maxi dresses nimoja ya design ya nguo ambayo huwezi kosa Sheila's hizi waweza valia utakavyo either kufunga mpaka shingoni au kuilegeza iishie mabegani










No comments:
Post a Comment