Baada ya kusikia malalamiko mengi kutoka kwenu wateja wetu kuhusu na bei zetu kuwa juu sana, tunapenda kuwatangazia punguzo la bei ya vitu vifuatavyo na vingine vingi ambavyo vipo dukani kwetu..Tumeshusha vitu bei na bado tunaendelea kushusha bei ili tuweze kukidhi mahitaji yako..Sheila's haijalenga watu wa first class au matajiri tuu, tunajitahidi kuweka reasonable prices ili bidhaa zetu ziweze kumfikia Mtu wa hali yoyote ile hasa middle class na kuendelea..Pia tunazidi kupokea ushauri, complaints ili kuweza kuboresha biashara na kazi zetu plz tutumie ujumbe @sheilasonsfashion@yahoo.com, tutumie msg kwenye whatsapp+447944473389na BBPIN 266c204a..
Bei zetu zimeshuka mno jipatie hii set/mmechisho kwa bei poa tu kila kitu unachoona kwenye picha hii ni less than 75,000
Bila kusahau all our see through shirts, tops kwa 45,000..
Pia husiache wallets yako ichakae, wakati Sheila's tupo kwa ajili yako, jipatie wallets imara kutoka UK kwa bei poa tu wallets hizi utazipata kwa elf 30,000
Choker nacklaca zote ni from30 000
Pata yoyote ile kwa elfu 30,000tu karibuni
Tunapatikana Dar fitness centre msasani nr barabara ya masaki.
No comments:
Post a Comment