Ok tumerudi tena na vile vitu vyetu kwa bei poa tu hizi vest utazipata kila Rangi n kila size tunauza 5 kwa elfu 50 tu au moja kwa elfu 15 ni vest imara na nzuri waweza valia chochote na pia nindefu zinaziba kiunoni nakufika chini ya makalio
Hapa nimeichomekea kwa ndani 100% cotton








No comments:
Post a Comment