Wednesday, 10 July 2013

TANZANIA BUSNESS WOMEN ENTERPRENUERS

TBEW wanapenda kukualika katika shughuli Yao ya ufunguzi wa chama chao, tarehe 13/07/13, pale Mbezi garden Hotel kuanzia saa 1pm-6pm jioni. Shughuli hii ni ya wanawake wajasiriamali na wale ambao wangependa kuanza biashara, na kupata ideas kutoka kwa wanawake wengine na kubadilishana mawazo ktk swala zima la biashara.

Hello dears,mwisho wa mwezi ndio huu,kwa wale watakaoshiriki event hii karibuni kuanza kutuma viingilio kwa Mpesa 0756-696369/Tigo pesa 0714-750404.Wahi kutuma mchango wako upate nafasi nzuri ya kushiriki,pia wanaohitaji meza za maonyesho muwahi kwani nafasi ni chache na waombaji ni wengi!! —  at Mbezi Garden Hotel
Endapo utapenda kushiriki nasi basi tuma pesa yako ya kiingilio mapema ilitiwwze kufanikisha maswala ya maandalizi.
SHEILA FASHION DIVA TUTAKUWEPO NA BIDHAA ZETU ZITAUZWA SIKU HIYO
Karibuni wote.

No comments:

Post a Comment