Look of day: itakusaidia kujua katika maamuzi yako nini uvae kazini, sokoni, harusini nk..katika mandalizi yako waweza pitia dukani kwetu pia kujua jinsi utakavyo mechisha na kutendea haki mtoko wako, kila utakachokiona kwenye look of the day vinapatikana dukani.Sheila Fashion Diva ndio mpango mzima kupendeza ni lazima na quality ni muhim zaidi.
Tupende Facebook kupata updates kila tunapoleta mzigo mpya, sales, na mengineyo.
No comments:
Post a Comment