Wednesday, 11 December 2013

STYLISH: USHONAJE JIPATIE IDEAS ZA MISHONO MBALI MBALI KWA HIKI KIPINDI.

beautiful outfit
   ... BEAUTIFUL OUTFIT...for those of u who u will be attending weddings, or any occasion, if u haven't got any idea of what to wear grab this outfit style I suggest to add some beautiful silver stone or gold stone around your waist  to complete ur outfit  so it doesn't look as if u have copied everything from asoebi bella 9ja:)) .
...sample please note, it doesn't have to be silver or gold that's depends on your outfit colour...

 
 
                                                          stunning :)))

simple & classic..  makorokochofree:)))))))... I love her creativity...
PITIA HAPA KILA SIKU  HASA KWA KIPINDI HIKI UJIPATIE IDEA ZA MISHONO MBALIMBALI KWA MITOKO YAKO, NAAMINI YA KWAMBA WENGI WETU TUNA PIRIKA PIRIKA ZA MITOKO  MBALIMBALI TUKIACHILIA XMAS KUNA  HARUSI NYINGI ,SHEREHE ZA MWISHO WA MWAKA ,MWANZO WA MWAKA NK. SHEREHE NYINGI ZINAFANYIKA KIPINDI HIKI MPAKA WISHO WA JAN... BASI HUSIKOSE KUPITIA KWENYE HIKI KIPENGELE CHETU CHA STYLISH  KUPATA IDEAS HIZO ENDAPO UTASHONA AU UTANUNUA UJUE UTAPATA MUNEKANO GANI NA VIZURI UKAANGALIA PICHA MSHONO KUONA KAMA VITAENDANA NA UMBO LAKO... KWAMFANO KUNA NGUO ZA KUPENDEZA MTU MREFU , MNENE ,MFUPI AU MWEMBAMBA SO NI VIZURI KUANGALIA/ KUZINGATIA  UMBO LAKO NK.
                     

No comments:

Post a Comment