Monday, 21 October 2013

NEW LOOK INSIDE LELUU BEAUTY SALOON

Habari njema kwa wateja wa Leluu Beauty Saloon, wamehamua kuboresha na kuipa saloon muonekano mpya na wakuvutia.. 
Mambo ndio kma mnavyoyaona opening soon mahala ni pale kinondoni hospital

Congrats Leluu I really luv ur taste ma ..d decor , wall paints, wall paper yani everything is superb ...
   CEO NA WATEJA WAKE...
BEAUTYFUL ONYINYE AKA CEO..

Hakuna kitu raha kma kuifanya sehem yako yakazi inapendeza na kuipa mtazamo wa kiposh posh hata Mteja akija anasikia raha akijua unamjali...
Sheila's tunapenda kukupongeza Ma n keep it up sky is the limit ma gal well done 





No comments:

Post a Comment