Naomba nitambulishe kwenu kipengele kingine kiitwacho STYLISH hiki kipengele ni kwa ajili ya mishono iliyoshonwa na kubuniwa kupitia madesigners mbalimbali waonaosha bila kutumia vitenge.. Mbali na ubunifu wao kutumia vitenge pia wanaweza tumia au kucheza na vitambaa pia.
Kama muonavyo hapo juu mshono wa peplum umetumika kwa kutumia vitambaa tu, ukiangalia kwa haraka haraka unaweza dhani ni Kitenge.

No comments:
Post a Comment