Tuesday, 20 August 2013

Wedding Ideas& Inspirations


 
....Mix &match ya yellow and gold, ni rangimobile  Kali sana lakini wamezitendea haki na kuirepresent ipasavyo, coz hizi rangi ukikosea swaga zake kidogo 2 bhaaaasiiii tu hata harusi yako iwe posh vp ukitaka ipendeze zingatia uchaguzi wa rangi ni muhimu sana kama we simtu mzuri wa kichagua rangi jaribu kuwaomba wedding planner wako wakichagulie ili harusi yako ipate ile kitu roho inapenda "ze classic", bila kusahau swaga zako katika uchahuzi wa rangi zako ziwe zinaendana, mara nyingi uwa wanasema kama rangi utakazo chagua nikali basi fanya simple swaga nikimaanisha mishono ya wasimamizi wako iwe simple,mapambo na theme nzima iwe very simple, lakini endapo utachagua simple colour basi madodoido au swaga ziwe Kali mno ilikuongeza tashtiti kwenye zile rangi zako....

No comments:

Post a Comment