Basi kila nikisikia hilo neno la Tunnel Vision akili yangu inaenda kwa Justin Timberlake na ule wimbo wake wa "Tunnel Vision ":))))) sikujua kama neno hilo limetumika kwenye fashion pia..looooool
Hizi nguo pia zinampendeza Mtu yeyote hata wa XL PARLOUR nao shurti kupendeza





No comments:
Post a Comment