Tunapenda kuwataarifu wateja wetu wote, sasa tumerudi katika ile services yetu ya Blackberry, na tumenadili pin, sasa tunapatikana katika hii pin mpya
BBPIN 266c204a hii ndio pin yetu na pia whatsapp tunapatikana kwenye no ile ile WHATSAPP +447944473389. Please tuadd ili tuweze kukufikia na kutimiza na kukupatia huduma zetu zote kwa njia ya sim, endapo utataka kuoder kitu, kufwatilia order yako,kujua bei ya bidhaa, kujua sales, promotions, offers na mengine mengi please wasiliana nasi kwenye hizo number..


No comments:
Post a Comment