Saturday, 24 August 2013

LOOK OF THE DAY


Kimtoko zaidi, vazi letu la Leo laweza valiwa kokote pale, lakini vazi hili ni vazi la kutokea kwendea kwenye sherehe mbali mbali, dinner, nk.. huwezi vaa hivi kwenda kikaoni wala kazini uwa sielewagi Mtu akivaa plain cream dress kazini au kikaoni for me naona kama umeoverdress yani too much ..

No comments:

Post a Comment