Monday, 12 August 2013

Fashionista

Fashionista in style..
      Fashionista nimependaje huo mshono sasa.... Hasa hapo mikononi..
Ladies for you to be a fashionista u need to be creative.Nilishasemaga hapo awali pesa doesn't make u a fashionista.. pesa can only help u kutajirisha madesigners loooool but it takes ubunifu for you to be a fashionista na sio pesa. 
So stop saying" oh mi sipendezi coz sina pesa", guys katika fashion hakuna kiwango cha pesa ambacho kinatosheleza kwa wewe kupendeza kwasababu kila kukicha fashion zinabadilika so u can't have enough, na tukiachilia mbali fashion kubadilika pia fashion uwa inajirudia.
Si kosa kutokujua kuvaa wala sidhambi it's just a hobby ni kama tunavyoona some of us women tunapenda kuvaa na some tunapenda kupika, so kuvaa ni hobby kama hobby zingine tu, ni kitu ambacho always comes from within.
Wanawake wengine wako in fashion but being in fashion sio kujua kuvaa hapa naomba tusichanganye hivi vitu kabisa, sum of us we are very good kujua what's on in fashion I mean trends zote tunazijua na tunavaa but sikila kitu kinatupendeza au sikila fashion inayotoka itampendeza kila Mtu.
Ndio maana utakuta macelebrity wengi wana " Personal Designer Adviser" so hii nikutujulisha tu kuwa sometimes sio pesa ndio inamfanya Mtu apendeze kwenye mavazi, ni ubunifu tu.
One of my biggest dream is to introduce Personal Designer Advisor in Tanzania na kama wapo well bado sijawafaham hapa simaanishi "Fashion Desginers"I  mean Tanzania tumebarikiwa tuna great fashion designers sometimes nikiona ubunifu wa nguo zetu uwa nafurahi sana kwenye mitindo madesigners wetu wanaongoza aisee Eve Collection I salute u madam .. N d rest of u mko wengi mno siwezi taja mmoja mmoja kweli karibia wote mko jhuuu :))))))
Nivizuri hata kama hujui kuvaa jaribu kutafuta Mtu anaeendana na umbo lako ujifunze from them jinsi ya kuvaa, always make use of YouTube, google n the rest and pia tupunguze ubishii tunaposhauriwa coz sumtime nivizuri kusikiliza mawazo ya watu wengine kama, sumtimes ata hao maadviser wa mavazi uwa wanauliza pia just to be sure tu uko ok.. Simnajua mganga hajigangi so always kuna tufaham kuna watu wanajua zaidi na allow to learn from them kwani huwezi jua kila kitu. 

Endapo unajua unaenda shughulini make sure unajiandaa mapema kama unajijua hujuhi kuvaa jaribu kuuliza and get advise from other people au unapoenda shopping pia ukiwa changing room muulize yule sales assistance akusaidie pia kukutafutia nguo saa zingine uwa nikiangalia tunavyovaa shughulini mh mh uwa natamani nimvue Mtu nguo nimvalishe upyaa ahaaha jokin hasa kwa wale mastar wetu tena wengine mko huko Tz mafundi kila kona mabotique kila mtaa, achilia mbali nguo za mitumba na ukiangalia wengine wanapesa zakuwafanya wavae nguo ya amount yoyote but u ll be surprised atakavyokujia shughulini hehehe uwiiiii I'm like hv kwako hakuna kioo au hakuna hata Mtu wakukuadvise looool sasa bora tu uwemtu wakawaida like hufaamiki kwenye society so ata ukivaa gunia hakuna anayetambua uwepo wako  but unajijua we ni star like hadi magazetini au kwenye viblog unawekwa basi jisaidie na kuput effort kwenye mavazi bt Mtu atakavyovaa ukiangalia kuanzia mavazi na ukija kwenye accessories yessssu unatikisa kichwa.. Embu tujitaidini wapenzi yani yes kunaile kuchemka but don't make it too obvious yani ata ukitoka na mzee mr yuko busy kuangalia wanawake wengine yani we upo tu pale kama sanam au tuseme uko kisheria zaidi kwamba as a wife, fiancé galfriend d
That's all, yani umekaa kaa tu ata siku zingine zikotokea shughuli anatamani hasiende na kama mnavyojua hawa kaka zetu wengi uwa hawaongei sasa mkifika huko shughulini full mnuno hoo y unamwangalia flani y this y that oh my husband hanipendi, oh my boyfriend malaya loool wanaume karibu wote wako sawa so c'mon sio kwamba hakupendi bt kachoka yani kila siku mavazi ni yaleyale, basi changanyisha sumtime, Leo toka sweet 16 kesho mpe swag za forever 21.. Yani usimpe ratiba msuprise hasikuzoee saa mfanye sikuzingine akusahahu unless kma hapendezewi na ulichokivaa then hapo Hun huna ujanja nikubadilisha tu, bt mfanye asikie raha
 hv unajua hata wao wanafurahi tukipendeza, yani vile mnavyotoka all attention on u basi ye hapo bichwa hiloooo na mapenzi ndio yanazidi kuongezeka juu yako coz hadi sum of his friends wanakua jelous, always try to dress to impress.. 

Hapa simanishi mpaka uwe na uzuri wa umbo, sura au mpaka uvae kiminoo loool:)))) no sinamaana hiyo, kwanza hakuna mwanamke mmbaya duniani ni just the way u carry urself that ll make u more beauty.
Naomba niishie hapa, pia naomba nieleweke hii post nimeiweka simsem mtu yoyote yule n nothing personal nimeona tu tukumbushane katika hili na hii ni sisi wote ni wengi mno tumekuwa na hii tabia za kuchemka shughulini wengine hadi kwenye movies, n some of us hata hizi blog zinasaidia kuturekebisha sumtimes kitabia, kimavazi, kimaisha nk na tunaimprove pia yani kunasum of us story zetu zinachange kwa watu wanavyotuongelea though sivizuri kumind kila tunaposemwa na kurespond but kunavile vitu lazima tutake note na kujirekebisha, utaona ukifanya hvyo utaskia watu wanasema woow flan kachange skuhiz yuko hv na hii ndio progress development yani always husiwe vile vile jifunze kubadilika husiwape watu cha kuongea kwani sum of us tunafanya makusudi tu ilimradi uongelewe but kwenye mavazi Hun heellll no wewe ni mwanamke icon yako nikujipenda wacha wakuseme kwa mengine abeg your not lady gaga looool.

Saa zingine kuna vitu  flani flani tukivizingatia sana hata hawa mahaters wanatusaidia kumprove our life style sometimes coz sikila
Mtu anaekusema anakuchukia wengine wanatusema ili tubadilike na hakuna chuki..n u might be supprise some of tunawaita haters ndio deep down watu wanaotupenda sana yani Mtu anakusema sometimes kwakukuonea huruma na kukusaidia so always don't misquote them unless Mtu anaongea uongo, anabring false accusation against u, like chuki binafsi.com, Then hapo nikitu kingine ambacho husijali we tupa kwenye bin coz unajuwa binadam huwa hawakosi na chakuongea soo nimaneno ya mkosaji akichoka atapanda kitandani atalala..but vitu vingine Mtu anashindwa kukwambia live so mara nyingi anaona akufishie ujumbe kwenye blog ili ujirekebishe...

Chezeya yeye onyinye for me ukipendeza ur onyinye ukimwangalia huyu ni mzuri tu n sum mmebarikiwa naturally ur extra beautyful but mnatuangusha kwenye uvaaji tu... 

Zeee end xoxo
God bless u

No comments:

Post a Comment