Kwa wale msiojua AFDA NI AFRO DIVAS ATTIRE, ni style zangu mwenyewe ambazo nashona na ni moja ya ndoto yangu hapo baadae kujakumiliki company ya ushonaji na kudesign nguo zangu mwenyewe ... Soo stay tuned to get more from AFDA...
Pia nakaribisha ideas, ushauri, nk jinsi ya kuboresha kazi hii na kujiendeleza napokea maoni @ sheilasonsfashion@ yahoo.com
Follow us on Instagram sheilasfashiondiva , BBPIN266c204a

No comments:
Post a Comment