Sijaona mpinzani bado hapa kwa London hiii .. I salute u Ma..
Maliha clothing kwa style za kisasa
Nshaoder yangu tayarii ..sikunyingiii
Funky designs na nyingine nyingi zilizokwenda na wakati utazipata Maliha Clothing Designs...can't wait for my maxi dressess for summer, Maliha clothing hakuna maharibiko ukiharibiwa kitenge chako huko vichochoroni basi umetaka mwenyewe n husiseme hujaonywa mwenye macho haambiwi ona...lol :))))
Hongera Maliha I salute u madam...soo proud of u, sky is the Limit mamy M'Mungu abariki kazi ya mikono yako...
Watembelee Facebook Maliha Clothing kuona vitu vyao bonyeza hiyo link hapo chini
https://m.facebook.com/#!/profile.php?id=213887212091845&__user=712125458




Hongera sana Maliha
ReplyDelete