Kama tulivyowahaidi kukuletea ladha tofauti katika uvaaji na urembo hiki kipengele ni kwa yoyote Yule mwenye umbo kubwa, pitia hapa kila siku kupata ideas mbalimbali katika mavazi kutokana na maumbile kuwa makubwa wadada wengi upata shida katika kutafuta nguo za kuvaa wakati wakutoka kwenda kwenye shughuli na hata makazini.
Lakini Sheilas itakusaidia ktk hilo pia waweza pitia dukani kwetu ujipatie nguo za kwendana na umbile lako XL Parlor ndio mpango mzima wala husiwe nawasiwasi Sheilas tuko nyuma yako na tutakusaidia katika hilo
Endapo utahitaji special order kwa mtoko maalum please husisite kuwasiliana nasi
Kupitia ukurasa wetu wa Facebook,Twitter,Instangram, Keek, watsapp
Jina tunalotumia ni SHEILAFASHIONDIVA
wasiluana nasi kupitia 0715704974
Whatsapp+447944573389
Bbm:29A59b45
Karibuni

No comments:
Post a Comment