Friday, 10 May 2013

XL PARLOUR: XXL SIZES IN PRINTS


Kama nilivyowaambia tatizo sio umbo tazito ni kutokujua umbo lako linapendeza na nguo yenye stlyes za aina gani..u gotta know ur swags mammy:)))
Beautyful onyinye alivyopendeza unasahahu hata kama ni XL...
Hapana chezeya yeye...

No comments:

Post a Comment