Saturday, 20 April 2013

Fashion Diva Collexion

Kajipatie hand bag yako kwa 75 nnachopendea hili bag nikubwa na nizuri kwa kina mama waweza weka pampers, sijui maziwa ya mtoto nk ni zuri pia kwa wanafunzi kuwekea vitabu vyao nk, rangi zake zimetulia waweza valia nguo yoyote ile, nawaweza kulifanya likawa kubwa au dogo .. 29a59b45, +447944473389 , follow me on Instagram SHEILASFASHIONDIVA n visit our website www.sheilasfashiondiva.com

No comments:

Post a Comment