Je wewe ni oversize na unajihisi unapoteza mvuto kutokana na maumbile yako kuwa makubwa,unakosa nguo za kuvaa kwenda outing, kazini, vikaoni, harusini? Then Sheilas Fashion tunaweza tatua shida zako tutakusupport kwanjia yoyote ile either kimazo,na utakuwa na personal designer kukusaidia kubadilisha nguo zilizopo kwenye kabati lako na kukupa new look, kumbuka kuwa being overweight it's not a crime ujue tu jinsi ya kujipangilia, meanwhile kila ukipita hapa jaribu kuangalia XL PARLOUR ni section nimeianda, nimetenga kwaajili yako, hapa utapata ideas mbalimbali, na endapo hunapakuzipata nijulishe nitakusaidia pia
XL PARLOUR kwa kina dadaz,mamaz in town,maternity,nk, nk ,when your with us kila kitu kinawezekana hatutaki maharibiko we dwell in the world of fashion n fashion ni ya kilamtu endapo ukaitwa ugly, hujui kuvaa sijuhi out of fashion n all sort of names umetaka mwenyewe:)))
XL PARLOUR MOTTO:get back your confidence, your smile, & the good looks .
...AM SEKSSY & I KNOW IT WITH MY XL SIZE'S....


No comments:
Post a Comment