Poleni kwa ukimya nilikuwa busy kidogo kushughulika na mambo yangu ya kibinafsi sasa nimerudi naomba muendele kupita hapa mjionee na kujipatia vitu vya ukweeli,pia napenda kuwaatarifu wale mnaosubiria HOLLYWOOD DARK SPOT CREAM inakuja v.soon itafika naomba mvumilie tena kidogo tu coz sikuleta nyingi sana so ilinibidi nitoe kwa wale waliotowa order mara yakwanza Kama mnavyojuwa mie ni mfanyabiashara mdogo so huwa hata vitu ninavyoleta quantity ni ndogo thats y huwa nawaomba mkiona kitu nimeadvirtise na umekipenda jaribu kuweka order mapema au pitia dukani ukanunue mapema coz upatikanaji mwingine waweza chukua mda kidogo.
Sasa HOLLYWOOD DARK SPORT cream inakuja na HOLLYWOOD WHITENING CREAM Ambayo inasaidia na kuongeza un'garo kwa ngozi iliofubaa, kuondoa makovu sugu
Nunua moja kwa 45tsh/au pata zote mbili kwa elfu 85,000tsh karibuni kuweka order ili zikifika tu ugaiwe bbm pin 29a59b45 au what's app +447944473389
 |
| Wengi wenu mmekuwa mkilalamika kuhusu makovu au kwawale ambao hawana chunusi but ngozi imefubaa jaribuni hii kitu na wahi mapema kuweka order yako kwani we do come1st services 1st bbm pin 29a59b45 , what's app +447944473389 naleta vitu kutokana na demand ya wateja especially when it comes to beauty products |
Pata zote mbili kwa elfu 85,000 tu hii ni full package hakuna mchubuko hapa mambo yanajiblend nakukupa matokeo ya ngozi nzuri .
No comments:
Post a Comment