mix&match ndio talk of Sheilas Fashion Boutiq kwasasa, simply bcoz tunafanya offer ilituweze kuwafik mahitaji ya wateja wetu wote , save with mix&match ndio salam yetu when it comes 2 ur budget .
verry soon nitatambulisha kwenu ile system ya INSTALLMENT PAYMENT, kulipia taratibu pia kuzingatia mda wamalipo, so ntakupa maelekezo na endapo yakizingatiwa we call it adeal... sofar naifanya bt wengi wenu mmekuwa mkiuliza na kutaka kujua kama wanaweza kulipa taratibu jibu ni YES na inawezekana na hiyo system ipo inakubalika bt siwengi wenu mkoaware na hii ,so nahitaji mda tu kidogo then and i ll introduce it officially to u..
BBM PIN 29A59B45, WHATS APP +447944473389
|
No comments:
Post a Comment